SlideShare a Scribd company logo
4
Most read
5
Most read
7
Most read
(MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO VIONGOZI NA
WANACHAMA)
RUKWA WATER AND SANITATION
ASSOCIATION (RUWASA)
APRIL 2014
SUMBAWANGAPRESENTED BY: William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
Ph:+255764902066
• Utangulizi
•Maana ya Mpango Mkakati
•Madhumuni ya kuwa na mpango
Mkakati katika Asasi/Taasisi
•Mchakato wa kuandaa Mpango
Mkakati
Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
Taasisi mbalimbali za kibiashara na zisizo za kibiashara zinaishi katika
mazingira ya ushindani
Taasisi moja yaweza kutumia rasilimali nyingi ili ziweze kushindana na taasisi
zingine. Rasilimali hizo ni kama vile: Mitambo, vifaa, teknolojia
Muundo wa taasisi husika, mahusiano kazini, mifumo ya upangaji, tathmini
na ufuatiliaji
Rasilimali watu (ujuzi, uzoefu na tabia)
Kwa kawaida rasilimali ambazo Asasi inamiliki ndizo huweza kuipa uwezo wa
kushindana na taasisi zingine katika mazingira ambamo taasisi husika imo.
Kwa hiyo lengo kuu la mpango mkakati ni kusaidia kugawa rasilimali kwa
uangalifu ili ziweze kusaidia kushindana na taasisi zingine katika mazingira.
Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
Mpango Mkakati (Strategic Planning):
Ni mfumo wa kimaandishi unaoonesha kazi zinazotakiwa
kufanywa na hatua mbalimbali za kufikia malengo yaliyowekwa
kwa muda maalumu.
UMUHIMU WA KUWA NA MPANGO MKAKATI KATIKA ASASI:
•Mara nyingi ufanisi wa utekelezaji huwa mzuri
•Inaweka mpangilio mzuri wa matumizi ya rasilimali.
•Inasaidia kuratibu kazi zote ili kufikia lengo.
•Inasaidia kuweka vipaumbele
•Inasaidia kutoendeshwa na matakwa ya wafadhili
Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
• Inatoa mwelekeo wa jumuiya na kuonyesha njia
• Inaonyesha shughuli / kazi kuu za jumuiya
• Inasaidia kujua nyenzo zinazohitajika na hivyo
kuchukua jitihada ya kuzitafuta
• Inasaidia kutathimini kama lengo la jumuiya
limefanikiwa au halikufanikiwa kwa muda
uliopangwa
• Inasaidia katika ugawaji wa majukumu na
dhamana miongoni mwa wanachama.
Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
Kwa Asasi mpya au iliyopo maandalizi ya Mpango Mkakati
ni huwa na mambo yafuatayo ya kuzingatiwa:
•Sababu ya kutayarisha mpango huo
•Nani watashiriki katika zoezi hilo(wadau,NGO,CBO,Vikundi
vya dini n.k)
•Je washiriki wamearifiwa na kukubali
•Je washiriki wanaelewa sababu ya kuandaa mpango mkakati
huo
•Nani ataongoza zoezi la mpango mkakati
•Ni yepi maandalizi na mahitaji muhimu kwa ajili ya
kufanikisha zoezi hilo. (Rasilimali)
•Ni nyaraka zipi zitatumika kama rejea
•Lini wakati wa kuanza na wakati wa kumaliza
Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
Hatua 1. Kuandaa Mchakato wa kutengeneza Mpango
Mkakati
Hatua 2. Kuchambua mazingira ya Ndani Ya Asasi
(Taasisi)
Hatua 3 .Kuchambua Mazingira ya Nje Ya
Taasisi/Asasi
Hatua 4 .Kutathmini Uwezo wa Asasi
Hatua 5 .Kupanga malengo/malengo Mahsusi
Hatua 6.Kuandaa na kutekeleza Mpango kazi
Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
Kwa Asasi mpya au iliyopo maandalizi ya Mpango Mkakati ni
huwa na mambo yafuatayo ya kuzingatiwa:
•Sababu ya kutayarisha mpango huo
•Nani watashiriki katika zoezi hilo(wadau,NGO,CBO,Vikundi vya
dini n.k)
•Je washiriki wamearifiwa na kukubali
•Je washiriki wanaelewa sababu ya kuandaa mpango mkakati huo
•Nani ataongoza zoezi la mpango mkakati
•Ni yepi maandalizi na mahitaji muhimu kwa ajili ya kufanikisha
zoezi hilo. (Rasilimali)
•Ni nyaraka zipi zitatumika kama rejea
•Lini wakati wa kuanza na wakati wa kumaliza
Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
Hapa unaeleza kwa ufupi mambo yafuatayo:
Sisi ni nani
Jina la asasi
Eleza iwapo ni NGO, CBO,FBO, VDO n.k
Imeanza lini
Kama imesajiliwa
Idadi ya wanachama , wanaume wangapi?
Wanawake wangapi?
Inafanya kazi gani na wapi
Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
Swali Kubwa la kujiuliza: Taasisi inataka kuwa ya namna
gani?
Swali lina Jibiwa na Kutayarisha au kuhakiki wa Ndoto/Dira,
Kazi Kuu
(dhamira) na Maadili ya Asasi pamoja na Malengo ya
taasisi/asasi.
Vision: ni ile picha au ndoto ya kimaendeleo ambayo asasi
inatarajia kuifikia
Ni yale mabadiliko chanya ya kimaendeleo ambayo asasi
inataka walengwa wayafikie na kufaidika nayo
MFANO WA VISION (Ndoto-Dira)
Inclusive and equitable society mobilized for sustainable
development
Poverty free society- Jamii isiyo masikini
Environmental Friendly Agricultural Production –Uzalishaji
wa mazao ya kilimo ulio rafiki kwa mazingira
Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
 Ni kazi kuu ambazo asasi inajikita ili kufikia vision yake.
 Maswali muhimu ya kujiuliza katika kuandika mission ya asasi
ni, sisi ni nani , tutafanya nini na vipi, tunafanya kwa nani na
wapi.
MIFANO YA MISSION:
CEELS contributes in the improvement of economic Status and
Agricultural
Production of small-scale farmers in Sumbawanga through
advocacy ,
Organic farming training and education.
Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
 Ni imani au maadili ambayo asasi imejiwekea,
inayathamini na kuyazingatia katika utendaji wake wa kila
siku, mahusiano miongoni mwa wana asasi, walengwa na hata
jamii kwa ujumla,
MFANO WA VALUE ZA ASASI:
-Kufanya kazi kama timu
-Haki sawa kwa wote
-Uwazi na ukweli n.k
Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
Hatua hii inahusisha uchambuzi wa taasisi yenyewe.
Lengo la kuichambua taasisi husika ni kufahamu uwezo
(strengths) na udhaifu (weaknesses) wake.
Mambo unayoyaangalia katika uchambuzi huu ni pamoja na
Kukubalika kwa jamii, walengwa
Kukubalika kuhitajika kwa huduma zenu
Serikali na mipango gani katika nyanja ambayo mnafanyia
kazi
Wafadhili
Asasi nyingine : ushirikiano /ushindani.
Kuwa na wafanyakazi mahiri na wenye weledi
Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
.
Lengo la kutathmini mazingira yanayoizunguka
taasisi ni kutaka kupata ufahamu wa fursa
(opportunities) na vikwazo (threats) vya taasisi
husika. Mifano :
Hali ya kisera:sera ya serikali inaathiri vipi
mipango yenu.
Hali ya kisheria: sheria inaathiri vipi mipango yenu.
Hali ya siasa
Geografia
Utamaduni n.k
Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
Wana asasi na wadau kubainisha na
kutathmini uwezo wa asasi katika
kutekeleza kazi husika ili kufikia
malengo tarajiwa na ndoto za asasi
Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
Kuandaa mpango wa maendeleo ambao
unaonyesha malengo, malengo hayo ni lazima
yawezekutekelezeka kwa muda muafaka na
vilevile kupimika. Malengo mahsusi ni yale
mambo hasa tunayodhamiria kuyafanyia kazi na
kuona matokeo yake baada ya muda tuliojipangia
Mifano ya malengo makhsusi :
Mashirikiano yanakuwepo na kuimarika baina ya
serikali, asasi za kiraia na sekta ya biashara katika
kuleta maendeleo
Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
Kuandaa Mpango kazi ni hatua ya mwisho Baada ya
kukamilisha Mpango Mkakati. Yale yote yaliyomo (Malengo)
yanatafsiriwa katika Mpango kazi ambao ndio huwa
unafanyiwa kazi siku kwa siku ili kufikia malengo
Taasisi itafikaje kule inakotaka kufika?
Wakati wa utekelezaji wa mpango sharti taasisi izingatie
muundo wake wa utendaji, kugawa rasilimali kwa kufuata
vipaumbele, kuhakikisha kuwa watumishi waliopo wanatosha
na wana ujuzi unaotakiwa.
Mpango wa utekelezaji wa mwaka pamoja na bajeti huandaliza
kwa kuzingatia uwezo wa taasisi husika
Baada ya fedha za utekelezaji kupatikana mpango kazi
huandaliwa ukiwa ni mwongozo wa utekelezaji
Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
Malengo mf:Taasisi za kiraia ziwe zimeimarika kitaaluma na kiuwezo
ili ziweze kutimiza malengo zilizojipangia na hivyo kuchangia katika
maendeleo ya kijamii.
Wanajamii wapate taarifa muhimu na sahii za kimaendeleo ili nao washiriki
kikamilifu katika mchakato wa maendeleo
Vijana wawe wanashiriki katika uongozi wa nyanja mbalimbali na mchakato
wa maendeleo
Kazi/shughuli
Viashiria- Tunatakiwa kuweka bayana kabisa viashirio ambavyo vitatusaidia kupima
mafanikio wakati na baada ya utekelezaji wa kazi
Swali la msingi hapa ni kujiuliza ni vipi tutajua iwapo lengo tulilojiwekea limefanikiwa
ama la.
Hivyo kwa kila lengo mahsusi na kazi tulizoainisha tunatakiwa tuweke viashirio ili kupima
mafanikio yake
Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
Tunatakiwa kuweka bayana kabisa viashirio
ambavyo vitatusaidia kupima mafanikio wakati na
baada ya utekelezaji wa kazi
Swali la msingi hapa ni kujiuliza ni vipi tutajua
iwapo lengo tulilojiwekea limefanikiwa ama la.
Hivyo kwa kila lengo mahsusi na kazi tulizoainisha
tunatakiwa tuweke viashirio ili kupima mafanikio
yake
Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
Kwa mujibu wa malengo mahsusi na kazi
tulizoziainisha hapo juu, viashiria vinaweza kuwa
pamoja na
 Idadi ya asasi za kiraia zilizojengewa uwezo
 Kukua kwa ushiriki wa vijana katika uongozi
 Vituo vya habari za maendeleo vilivyoanzishwa
 Idadi ya waandishi wanaofika katika vituo vya
taarifa za maendeleo kwa lengo la kupata taarifa
mbali mbali za maendeleo
Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
Mambo mazingira au hali fulani
tunayoitumiania ili kazi tulizojipangia ziweze
kufanyika kwa ufanisi :
•Kuvurugika kwa hali hiyo kunavyoweza
kuvuruga kazi na malengo yetu
•Ni matumaini yetu hali ya utulivu wa kisiasa
itaendelea ikitokea kuvurugika kwa hali ya
utulivu mipango yetu inaweza kuvurugika
Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

Prepared by William Nathan
Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.

More Related Content

PPTX
Keeping Employees Engaged In The Workplace
PPTX
Group and team dynamics
PPTX
Group dynamics and teamwork
PPTX
Employee Retention, Engagement and Careers
PPTX
Employee engagement ppt
PPTX
Diabetes Mellitus
PPTX
Hypertension
PPTX
Republic Act No. 11313 Safe Spaces Act (Bawal Bastos Law).pptx
Keeping Employees Engaged In The Workplace
Group and team dynamics
Group dynamics and teamwork
Employee Retention, Engagement and Careers
Employee engagement ppt
Diabetes Mellitus
Hypertension
Republic Act No. 11313 Safe Spaces Act (Bawal Bastos Law).pptx

What's hot (20)

PPTX
Mpango mkakati presentation
PDF
Organisation Structure and Objectives
PDF
Strategic Planning Gap Analysis Powerpoint Presentation Slides
PDF
Org change communications strategy & tips
PDF
Your strategy needs a strategy
PDF
Change Leadership Leading Significant Change
PPT
Values, Vision & Mission Statement
PDF
Siebel crm strategy and roadmap ()
PPT
Strategic Leadership Defined
PPTX
Improve IT Business Alignment With An Infrastructure Roadmap
PPT
Change Management
PDF
Leadership Strategies And Practices PowerPoint Presentation Slides
PDF
مؤشرات الأداء الرئيسية: تعريفها وآلياتها.
PPTX
الهيكلية المؤسسية الوطنية
PDF
Strategic leadership
PPTX
Organizational Change – Concept & Need, Change Process, Reasons for Resistanc...
PDF
Agile Transformation Governance Model
 
PPTX
Group behaviour n dynamics
PPTX
Organizational Culture
PPT
Introduction To Consulting Slides
Mpango mkakati presentation
Organisation Structure and Objectives
Strategic Planning Gap Analysis Powerpoint Presentation Slides
Org change communications strategy & tips
Your strategy needs a strategy
Change Leadership Leading Significant Change
Values, Vision & Mission Statement
Siebel crm strategy and roadmap ()
Strategic Leadership Defined
Improve IT Business Alignment With An Infrastructure Roadmap
Change Management
Leadership Strategies And Practices PowerPoint Presentation Slides
مؤشرات الأداء الرئيسية: تعريفها وآلياتها.
الهيكلية المؤسسية الوطنية
Strategic leadership
Organizational Change – Concept & Need, Change Process, Reasons for Resistanc...
Agile Transformation Governance Model
 
Group behaviour n dynamics
Organizational Culture
Introduction To Consulting Slides
Ad

Viewers also liked (20)

PPT
RefWorks en 15 minuts
PPT
Qué Es El MéTodo CientíFico
PPSX
Charito
PPTX
AniMaLes PresenTaCiioon
PPT
Importancia de las TIC
PPT
DOC
Biodisponibilidad Y Bioequivalencia In
PDF
Partner Program
DOC
Guides 9
PPT
Envase Y Embalaje
PPTX
Colegio galvis
DOC
PDF
Lista De Precios American Cars 2009
PPTX
My Scrum Min Voz2
PDF
Arqueologica 2.0 2011
PPTX
Presentación crisol
PPTX
EL PRODUCTO
PDF
IDCN-Annual-Review-2015
PDF
8 161120 ig_os_v organic processing kg_требования к переработке [режим совмес...
RefWorks en 15 minuts
Qué Es El MéTodo CientíFico
Charito
AniMaLes PresenTaCiioon
Importancia de las TIC
Biodisponibilidad Y Bioequivalencia In
Partner Program
Guides 9
Envase Y Embalaje
Colegio galvis
Lista De Precios American Cars 2009
My Scrum Min Voz2
Arqueologica 2.0 2011
Presentación crisol
EL PRODUCTO
IDCN-Annual-Review-2015
8 161120 ig_os_v organic processing kg_требования к переработке [режим совмес...
Ad

MPANGO MKAKATI

  • 1. (MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO VIONGOZI NA WANACHAMA) RUKWA WATER AND SANITATION ASSOCIATION (RUWASA) APRIL 2014 SUMBAWANGAPRESENTED BY: William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga. Ph:+255764902066
  • 2. • Utangulizi •Maana ya Mpango Mkakati •Madhumuni ya kuwa na mpango Mkakati katika Asasi/Taasisi •Mchakato wa kuandaa Mpango Mkakati Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
  • 3. Taasisi mbalimbali za kibiashara na zisizo za kibiashara zinaishi katika mazingira ya ushindani Taasisi moja yaweza kutumia rasilimali nyingi ili ziweze kushindana na taasisi zingine. Rasilimali hizo ni kama vile: Mitambo, vifaa, teknolojia Muundo wa taasisi husika, mahusiano kazini, mifumo ya upangaji, tathmini na ufuatiliaji Rasilimali watu (ujuzi, uzoefu na tabia) Kwa kawaida rasilimali ambazo Asasi inamiliki ndizo huweza kuipa uwezo wa kushindana na taasisi zingine katika mazingira ambamo taasisi husika imo. Kwa hiyo lengo kuu la mpango mkakati ni kusaidia kugawa rasilimali kwa uangalifu ili ziweze kusaidia kushindana na taasisi zingine katika mazingira. Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
  • 4. Mpango Mkakati (Strategic Planning): Ni mfumo wa kimaandishi unaoonesha kazi zinazotakiwa kufanywa na hatua mbalimbali za kufikia malengo yaliyowekwa kwa muda maalumu. UMUHIMU WA KUWA NA MPANGO MKAKATI KATIKA ASASI: •Mara nyingi ufanisi wa utekelezaji huwa mzuri •Inaweka mpangilio mzuri wa matumizi ya rasilimali. •Inasaidia kuratibu kazi zote ili kufikia lengo. •Inasaidia kuweka vipaumbele •Inasaidia kutoendeshwa na matakwa ya wafadhili Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
  • 5. • Inatoa mwelekeo wa jumuiya na kuonyesha njia • Inaonyesha shughuli / kazi kuu za jumuiya • Inasaidia kujua nyenzo zinazohitajika na hivyo kuchukua jitihada ya kuzitafuta • Inasaidia kutathimini kama lengo la jumuiya limefanikiwa au halikufanikiwa kwa muda uliopangwa • Inasaidia katika ugawaji wa majukumu na dhamana miongoni mwa wanachama. Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
  • 6. Kwa Asasi mpya au iliyopo maandalizi ya Mpango Mkakati ni huwa na mambo yafuatayo ya kuzingatiwa: •Sababu ya kutayarisha mpango huo •Nani watashiriki katika zoezi hilo(wadau,NGO,CBO,Vikundi vya dini n.k) •Je washiriki wamearifiwa na kukubali •Je washiriki wanaelewa sababu ya kuandaa mpango mkakati huo •Nani ataongoza zoezi la mpango mkakati •Ni yepi maandalizi na mahitaji muhimu kwa ajili ya kufanikisha zoezi hilo. (Rasilimali) •Ni nyaraka zipi zitatumika kama rejea •Lini wakati wa kuanza na wakati wa kumaliza Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
  • 7. Hatua 1. Kuandaa Mchakato wa kutengeneza Mpango Mkakati Hatua 2. Kuchambua mazingira ya Ndani Ya Asasi (Taasisi) Hatua 3 .Kuchambua Mazingira ya Nje Ya Taasisi/Asasi Hatua 4 .Kutathmini Uwezo wa Asasi Hatua 5 .Kupanga malengo/malengo Mahsusi Hatua 6.Kuandaa na kutekeleza Mpango kazi Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
  • 8. Kwa Asasi mpya au iliyopo maandalizi ya Mpango Mkakati ni huwa na mambo yafuatayo ya kuzingatiwa: •Sababu ya kutayarisha mpango huo •Nani watashiriki katika zoezi hilo(wadau,NGO,CBO,Vikundi vya dini n.k) •Je washiriki wamearifiwa na kukubali •Je washiriki wanaelewa sababu ya kuandaa mpango mkakati huo •Nani ataongoza zoezi la mpango mkakati •Ni yepi maandalizi na mahitaji muhimu kwa ajili ya kufanikisha zoezi hilo. (Rasilimali) •Ni nyaraka zipi zitatumika kama rejea •Lini wakati wa kuanza na wakati wa kumaliza Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
  • 9. Hapa unaeleza kwa ufupi mambo yafuatayo: Sisi ni nani Jina la asasi Eleza iwapo ni NGO, CBO,FBO, VDO n.k Imeanza lini Kama imesajiliwa Idadi ya wanachama , wanaume wangapi? Wanawake wangapi? Inafanya kazi gani na wapi Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
  • 10. Swali Kubwa la kujiuliza: Taasisi inataka kuwa ya namna gani? Swali lina Jibiwa na Kutayarisha au kuhakiki wa Ndoto/Dira, Kazi Kuu (dhamira) na Maadili ya Asasi pamoja na Malengo ya taasisi/asasi. Vision: ni ile picha au ndoto ya kimaendeleo ambayo asasi inatarajia kuifikia Ni yale mabadiliko chanya ya kimaendeleo ambayo asasi inataka walengwa wayafikie na kufaidika nayo MFANO WA VISION (Ndoto-Dira) Inclusive and equitable society mobilized for sustainable development Poverty free society- Jamii isiyo masikini Environmental Friendly Agricultural Production –Uzalishaji wa mazao ya kilimo ulio rafiki kwa mazingira Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
  • 11.  Ni kazi kuu ambazo asasi inajikita ili kufikia vision yake.  Maswali muhimu ya kujiuliza katika kuandika mission ya asasi ni, sisi ni nani , tutafanya nini na vipi, tunafanya kwa nani na wapi. MIFANO YA MISSION: CEELS contributes in the improvement of economic Status and Agricultural Production of small-scale farmers in Sumbawanga through advocacy , Organic farming training and education. Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
  • 12.  Ni imani au maadili ambayo asasi imejiwekea, inayathamini na kuyazingatia katika utendaji wake wa kila siku, mahusiano miongoni mwa wana asasi, walengwa na hata jamii kwa ujumla, MFANO WA VALUE ZA ASASI: -Kufanya kazi kama timu -Haki sawa kwa wote -Uwazi na ukweli n.k Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
  • 13. Hatua hii inahusisha uchambuzi wa taasisi yenyewe. Lengo la kuichambua taasisi husika ni kufahamu uwezo (strengths) na udhaifu (weaknesses) wake. Mambo unayoyaangalia katika uchambuzi huu ni pamoja na Kukubalika kwa jamii, walengwa Kukubalika kuhitajika kwa huduma zenu Serikali na mipango gani katika nyanja ambayo mnafanyia kazi Wafadhili Asasi nyingine : ushirikiano /ushindani. Kuwa na wafanyakazi mahiri na wenye weledi Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
  • 14. . Lengo la kutathmini mazingira yanayoizunguka taasisi ni kutaka kupata ufahamu wa fursa (opportunities) na vikwazo (threats) vya taasisi husika. Mifano : Hali ya kisera:sera ya serikali inaathiri vipi mipango yenu. Hali ya kisheria: sheria inaathiri vipi mipango yenu. Hali ya siasa Geografia Utamaduni n.k Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
  • 15. Wana asasi na wadau kubainisha na kutathmini uwezo wa asasi katika kutekeleza kazi husika ili kufikia malengo tarajiwa na ndoto za asasi Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
  • 16. Kuandaa mpango wa maendeleo ambao unaonyesha malengo, malengo hayo ni lazima yawezekutekelezeka kwa muda muafaka na vilevile kupimika. Malengo mahsusi ni yale mambo hasa tunayodhamiria kuyafanyia kazi na kuona matokeo yake baada ya muda tuliojipangia Mifano ya malengo makhsusi : Mashirikiano yanakuwepo na kuimarika baina ya serikali, asasi za kiraia na sekta ya biashara katika kuleta maendeleo Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
  • 17. Kuandaa Mpango kazi ni hatua ya mwisho Baada ya kukamilisha Mpango Mkakati. Yale yote yaliyomo (Malengo) yanatafsiriwa katika Mpango kazi ambao ndio huwa unafanyiwa kazi siku kwa siku ili kufikia malengo Taasisi itafikaje kule inakotaka kufika? Wakati wa utekelezaji wa mpango sharti taasisi izingatie muundo wake wa utendaji, kugawa rasilimali kwa kufuata vipaumbele, kuhakikisha kuwa watumishi waliopo wanatosha na wana ujuzi unaotakiwa. Mpango wa utekelezaji wa mwaka pamoja na bajeti huandaliza kwa kuzingatia uwezo wa taasisi husika Baada ya fedha za utekelezaji kupatikana mpango kazi huandaliwa ukiwa ni mwongozo wa utekelezaji Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
  • 18. Malengo mf:Taasisi za kiraia ziwe zimeimarika kitaaluma na kiuwezo ili ziweze kutimiza malengo zilizojipangia na hivyo kuchangia katika maendeleo ya kijamii. Wanajamii wapate taarifa muhimu na sahii za kimaendeleo ili nao washiriki kikamilifu katika mchakato wa maendeleo Vijana wawe wanashiriki katika uongozi wa nyanja mbalimbali na mchakato wa maendeleo Kazi/shughuli Viashiria- Tunatakiwa kuweka bayana kabisa viashirio ambavyo vitatusaidia kupima mafanikio wakati na baada ya utekelezaji wa kazi Swali la msingi hapa ni kujiuliza ni vipi tutajua iwapo lengo tulilojiwekea limefanikiwa ama la. Hivyo kwa kila lengo mahsusi na kazi tulizoainisha tunatakiwa tuweke viashirio ili kupima mafanikio yake Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
  • 19. Tunatakiwa kuweka bayana kabisa viashirio ambavyo vitatusaidia kupima mafanikio wakati na baada ya utekelezaji wa kazi Swali la msingi hapa ni kujiuliza ni vipi tutajua iwapo lengo tulilojiwekea limefanikiwa ama la. Hivyo kwa kila lengo mahsusi na kazi tulizoainisha tunatakiwa tuweke viashirio ili kupima mafanikio yake Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
  • 20. Kwa mujibu wa malengo mahsusi na kazi tulizoziainisha hapo juu, viashiria vinaweza kuwa pamoja na  Idadi ya asasi za kiraia zilizojengewa uwezo  Kukua kwa ushiriki wa vijana katika uongozi  Vituo vya habari za maendeleo vilivyoanzishwa  Idadi ya waandishi wanaofika katika vituo vya taarifa za maendeleo kwa lengo la kupata taarifa mbali mbali za maendeleo Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
  • 21. Mambo mazingira au hali fulani tunayoitumiania ili kazi tulizojipangia ziweze kufanyika kwa ufanisi : •Kuvurugika kwa hali hiyo kunavyoweza kuvuruga kazi na malengo yetu •Ni matumaini yetu hali ya utulivu wa kisiasa itaendelea ikitokea kuvurugika kwa hali ya utulivu mipango yetu inaweza kuvurugika Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.
  • 22.  Prepared by William Nathan Mwaisumo,CEELS,Sumbawanga.